Teri mulala - Mugezi Emma

Teri mulala

5.0 of 5 stars
10 votes
Share this Song
Download the Howwe Music App
Howwe App

Teri mulala Lyrics

Mi huwa nakosaga raha

Tukilala njaa sina kitu mfukoni

Ndomaana nasaka chapaa...

Kwanguvu sana  tuishi vyema mbeleni

Wakisema umechakaa

Hupaki mafuta umepauka usoni 

Achana na vigakura

Kazi kusema yakwao hawayaoni

Penzi letu shilingi

Chunga usije ichezea tunduni eeh

Moyo niweka vigingi

Wasije wakakuteka we mommy

Penzi letu shilingi

Chunga usije ichezea tunduni eeh

Moyoni weka vigingi

    Eee! aaaa.....

(Terii teri mulala akusinga gwe mukwano

Terii teri mulala... aaaa.....)x2

You're my painkiller..

You're my desire..

I'll never retire..

 till I die.....

You're love is fire..

Nobody can stop..

You're my only one..

Ooh! my love oo..

Penzi letu shilingi

Chunga usije ichezea tunduni

Moyo niweka vigingi

Wasije wakakuteka we mommy

Penzi letu shilingi

Chunga usije ichezea tunduni eeh

Moyoni weka vigingi

    Eee! aaaa.....

(Terii teri mulala akusinga gwe mukwano

Terii teri mulala... aaaa.....)x2

Kutwa kucha mi juani..

Nazisaka kila hali..

Tuje tulie kivulini

We mauwa aa...

Ukiniacha tahabani..

Kama wewe misioni..

Ukiniacha gizani

Utaniuaaa aaa....

     Oooooh!.........

Hey eeee heee...

I love you maaa... aaaaaa.....

(Ukiniacha wewe(taumia haa.. tauguaa...)

Ooh my baby iih(taumia haa.. tauguaa....)x2 

             Yeah 

MSport